Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya saba:
اللّهُمَّ أَعِنِّی فِیهِ عَلَی صِیامِهِ وَقِیامِهِ، وَجَنِّبْنِی فِیهِ مِنْ هَفَواتِهِ وَآثامِهِ، وَارْزُقْنِی فِیهِ ذِکرَک بِدَوامِهِ، بِتَوْفِیقِک یا هادِی الْمُضِلِّینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niwezeshe na Unipe Nguvu za kufunga (mwezi huu wa Ramadhani wote) na kusimama kwa ibada (zinginezo kama sala n.k.) na Uniepushe na matelezo mbali mbali na madhambi katika mwezi huu, Unidumishe na kukutaja kwa uongozi wako Ewe Mwongozaji wa waliopotea.
Your Comment